Dah kumbe mm siishi dar na hamsemiNimekutana na hii paragraph hapo chini kumbe maeneo mengine ukikaa ni kwamba haupo dar, ππ je wengine mpo wapi,
View attachment 2789864
Upo njee ya darNinapoishi kwenda buku kurudi buku
Wewe wasema!Upo njee ya dar
Geographically reasoning not according to meWewe wasema!
Huko mko Zambia na wengine MalawiKama hizo places siyo dar na tulio mbeya huku huwa mnasema tupo wapi
Mvuti home Landtoa Mvuti hapo, kisha ongeza Bonyokwa
π³aiseeHuko mko Zambia na wengine Malawi