OK - Nimeelewa
Unaporuhusiwa ku-do nje hainogi! Then ile "raha" ya kutoka nje itakuwa haipo!
teh teh
mie naona hio iko poa pale ndoa inapofikia kati hamna jipya tena la kujifunza kutoka kwa mwenzio,hivyo unatafuta pa kuspice up mambo!............nahisi mmoja wenu akinogewa nje possibility ni kubwa ya kuvunja uhusiano wenu,hivyo siwashauri wanandoa wakafanya hivyo besides kama mtu unampenda sana utamuonea wivu hutataka ale raha na mtu mwingine!..............................
loveless mariage ndio zinaweza zikadapt huo mfumo sababu zenyewe zinaoperate kama machine no emotions involved.
watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....
Je jamani nataka kujua ni wangapi wangekubaliana na hili???
samahani kuhusu dini wao ni wale watu wanaojiita Free Spirit
...yataka moyo japo kwenye jamii ya sasa wengi wanayafanya. Inategemeana na nani kashikilia mpini, nani kashikilia makali. Kama wote mmeushikilia mpini (mnajitosheleza kimapato na maisha), na mnaishi "for the sake of your children"...haitauma saaana!
watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....
Je jamani nataka kujua ni wangapi wangekubaliana na hili???
unacheza wewe... mke khabari ingine bana...
ai we Mkesha hoi wewe mmhh
hayo ni makubaliana yao....
vizuri kujua unamsimamo lakini Je huo msimamo unaenda pande zote mbili??
haya tena ..kama wanandoa wananyimana unyumba bora open relationship mana vinginevyo watapiga nje. Hamna cha imani wala nini, hao imani kali ndiyo wa kwanza kuwa na mipango ya nje.
Au kuachana ndiyo suluhisho.
yaani Babu naona leo huku lalaWhy live under the same roof kama wote ni kambale? Kwa nini msigawane fito kila mtu akatundika kibanda chake na kupeperusha bendera yake mwenyewe?
Kama ni maigizo sawa tu...Ila huko mimi simo!
Goood to see you ...
welcome back ...
and i like the style u come back wit....
nice,simple and u put message across ..
cheers..
...yataka moyo japo kwenye jamii ya sasa wengi wanayafanya. Inategemeana na nani kashikilia mpini, nani kashikilia makali. Kama wote mmeushikilia mpini (mnajitosheleza kimapato na maisha), na mnaishi "for the sake of your children"...haitauma saaana!
[/B]
i like that baba watoto...
...yataka moyo japo kwenye jamii ya sasa wengi wanayafanya. Inategemeana na nani kashikilia mpini, nani kashikilia makali. Kama wote mmeushikilia mpini (mnajitosheleza kimapato na maisha), na mnaishi "for the sake of your children"...haitauma saaana!
hahahahahah lol
i would like from the top of ur heart hahah lol...
good to know ur heart is infinity lol