hahahahahaha lol
are u team Jacob or team or team Edward hahahh lol
are they bringing their lovers home?
how do they xplain it to their kids?
only if the kids are in the school or not at home.....
Kids dont know any thing about it it..
but most of time specially at night
they are doing it same where else.....
the idea seems hard to fully enter my mind, may be when am married ill get to see the real picture,,,,,
but not of someone i vowed to protect through it all get banged knowingly
yeah
i just think same people are moveing to fast and
want to try every thing in life..
even tho its danger zone....
OPEN RELATIONSHIPS kwa waTZ wengi ni ngumu kumeza ila huko majuu ni vitu vya kawaida.
Kwa wenye exposure na hivi vitu huwa haiwaumizi vichwa hasa wale ambao wana mali nyingi na hawataki kuvunja familia.
Kasheshe ni pale mnapoanza kulinganisha wapenzi. Hamkumbuki mambo ya preta, wazazi wake barbara walikuwa na open relationship.
Binafsi open relationships sizifagilii sana. Ni ngumu na inahitaji watu wenye roho ngumu mno na waliojaa viburi design.
Wewe acha tu, nilishawahi ona design ya relnship hiyo hapa bongo. Husband ana dogodogo mbichi mama naye akatafuta wa kumliwaza. Fortunately alikuwa na pesa.mmmhhh kwa kweli
kuna hatari ...
hivi kweli kuna maelewano hapo kweli
"nilie fanya nae jana alikuwa bora kuliko wewe"
mmmhhhh
Wewe acha tu, nilishawahi ona design ya relnship hiyo hapa bongo. Husband ana dogodogo mbichi mama naye akatafuta wa kumliwaza. Fortunately alikuwa na pesa.
Pale aliponunuliwa gari mwanamke, husband alishituka sana. Hakutegemea. Ilibidi wakubaliane kuacha ujinga ila sasa mwanaume alishazaa na dogodogo.
Ikabidi amchukue mtoto alelewe na mkewe ili mradi mkewe aachane na huyo tajiri.
Wewe acha tu, nilishawahi ona design ya relnship hiyo hapa bongo. Husband ana dogodogo mbichi mama naye akatafuta wa kumliwaza. Fortunately alikuwa na pesa.
Pale aliponunuliwa gari mwanamke, husband alishituka sana. Hakutegemea. Ilibidi wakubaliane kuacha ujinga ila sasa mwanaume alishazaa na dogodogo.
Ikabidi amchukue mtoto alelewe na mkewe ili mradi mkewe aachane na huyo tajiri.
hatari hata Bongo wameanza hayo...
kwa kweli tunawafuata sana hawa watu wa western countries.....
kama ile dini aaaaghhh mama waache maana ni kawaida yao...watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....
Je jamani nataka kujua ni wangapi wangekubaliana na hili???
samahani kuhusu dini wao ni wale watu wanaojiita Free Spirit
Mh sasa na ile usemi wa mke moja mme moja vp? wanahatari hawa!
kama ile dini aaaaghhh mama waache maana ni kawaida yao...
kwa maoni yangu finyu nadhani hata hao wa kwenye hiyo dini ni tamaa tu ingawa open relationship zao ziko one sided
Mi nilikuwa kwen team ya jacob bana...usinkumbushe nikaota usiku bure....
Kha mpwa habari za asubuhi lakini?
Unazungumziaje hii open relationship? hata kama unamega kwa house girl we unaweka wazi tu