hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,837
Kuna kale kamsemo kao mkuu, mafiga yawe matatu ndo kitu kikae kupikia, sasa sijui hapo inakuwaje?
misemo ya kupendezesha umalaya tu hakuna lolote........waruhusu na wanawake nao wajiachie basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kale kamsemo kao mkuu, mafiga yawe matatu ndo kitu kikae kupikia, sasa sijui hapo inakuwaje?
mmmhh kuna watu hawaelewi hayo...
jibu .......ni tunaenda na wakati ...
watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....
Je jamani nataka kujua ni wangapi wangekubaliana na hili???
samahani kuhusu dini wao ni wale watu wanaojiita Free Spirit
Sasa kama mwanaume akiamua kuleta BWABWA aka PUNGA? na mama analeta kabinti swafi aka LESBIANOS patatosha kweli au kitu inapigwa SQUARE?
Najua mpwa kama hii ya mtende ukipewa wewe sijui itakuwaje? Maana full VIPASI mzee, kuleleleleleeeeeeeeeee
mmmhh mie wangu hatoki...
ninachokupa mie hata nje hupati
hahahhaah lol
hahahahhaah lol
saaa nyingine nasoma poster zako nacheka tu
kwa kweli nini kimekufanya uwaze hilo???
mmmhhh borea tusile kabisa...
halafu kumbe una ka ufisadi ndani yako na hashycool, vipi tena imekula kwangu nini? nambie mapema kama ni free vile na mimi nidandie kicheche...
mie sijui labda tutafune mirungi...
AD, naomba uache kabisa kuwafikiria hawa jamaa. Hawana tofauti na vichaa. Wanafanya vitu ambavyo ni wao wenyewe tu wanajua kwa vichwa vyao vibovu. Wewe angalia mtumbwi wako kama bado unaelea au unataka kuzama...Ukipata shida watu tupo kibao wa kukupa shavu.. Hizo bangi achana nazo kabisa!
.....Avatar yako ya leo ni nzuri sana kuliko ile ya jana!! Ile ilikuwa inakuonesha kama vile umezidiwa na dozi au red wine ya usiku!
watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....
Je jamani nataka kujua ni wangapi wangekubaliana na hili???
samahani kuhusu dini wao ni wale watu wanaojiita Free Spirit
Hivi Babu mie utanikagua lini maana nilikuwa shule sasa tumefungaNimekoma kuwakagua bana. Kila nayemkagua nakuta tayari alishakaguliwa. Unakuwa haueleweki kama mkataba wa Dowans.
watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....
Je jamani nataka kujua ni wangapi wangekubaliana na hili???
samahani kuhusu dini wao ni wale watu wanaojiita Free Spirit
kama mwanamke ana mtindio wa ubongo labda, pia hujasema ni mtu wa dini gani, kwasababu pamoja na kwamba katika dini yangu mimi kuwa na wake wawili ni upungufu wa akili, kwa wengine kuwa na wake wanne ni bora zaidi.....so, sijui nisemeje?