Wangapi wanakubaliana na hili?

Wangapi wanakubaliana na hili?

Kuna kale kamsemo kao mkuu, mafiga yawe matatu ndo kitu kikae kupikia, sasa sijui hapo inakuwaje?

misemo ya kupendezesha umalaya tu hakuna lolote........waruhusu na wanawake nao wajiachie basi
 
mmmhh kuna watu hawaelewi hayo...
jibu .......ni tunaenda na wakati ...

Sasa kama mwanaume akiamua kuleta BWABWA aka PUNGA? na mama analeta kabinti swafi aka LESBIANOS patatosha kweli au kitu inapigwa SQUARE?
 
watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....

Je jamani nataka kujua ni wangapi wangekubaliana na hili???

samahani kuhusu dini wao ni wale watu wanaojiita Free Spirit

Mama leo umetokea huko tena? Nipe namimi free basi nikagonge nje halafu nileta taarifa...
 
Sasa kama mwanaume akiamua kuleta BWABWA aka PUNGA? na mama analeta kabinti swafi aka LESBIANOS patatosha kweli au kitu inapigwa SQUARE?

hahahahhaah lol
saaa nyingine nasoma poster zako nacheka tu
kwa kweli nini kimekufanya uwaze hilo???
 
Najua mpwa kama hii ya mtende ukipewa wewe sijui itakuwaje? Maana full VIPASI mzee, kuleleleleleeeeeeeeeee

Hahahahaha mkuu ingekuwa balaa yaani ningekuwa na mwembamba, menene yaani bonge, umbo namba 8, mwenye usafiri nyuma mkuuuuuuuuuuuuubwa aka inye gwedegwede, mweupe, black, mwarabu koko, mwarabu original n.k
 
mmmhh mie wangu hatoki...
ninachokupa mie hata nje hupati
hahahhaah lol

halafu kumbe una ka ufisadi ndani yako na hashycool, vipi tena imekula kwangu nini? nambie mapema kama ni free vile na mimi nidandie kicheche...
 
halafu kumbe una ka ufisadi ndani yako na hashycool, vipi tena imekula kwangu nini? nambie mapema kama ni free vile na mimi nidandie kicheche...

mmmmhhhhh HashC yuko na Nilham...
mie niko na TF....

na wewe ndio open relationship yangu hahahah lol
 
mhhhh huwezi jua watu siku hizi mama hamna mchezo mabwabwa kibao

kwa kweli kuna hatari ...
kweli kabisa hivi itakuwaje baba akileta kidume na mama akija na kibinti..
mmmmhhh wewe unanifanyaga niwaze mambo ambayo mmmhhhhh
 
mie sijui labda tutafune mirungi...

AD, naomba uache kabisa kuwafikiria hawa jamaa. Hawana tofauti na vichaa. Wanafanya vitu ambavyo ni wao wenyewe tu wanajua kwa vichwa vyao vibovu. Wewe angalia mtumbwi wako kama bado unaelea au unataka kuzama...Ukipata shida watu tupo kibao wa kukupa shavu.. Hizo bangi achana nazo kabisa!

.....Avatar yako ya leo ni nzuri sana kuliko ile ya jana!! Ile ilikuwa inakuonesha kama vile umezidiwa na dozi au red wine ya usiku!
 
Asante sana babu lakini ni utani tu. ...
Hamna la maana sana. ..

Mmmmhhhh nashukuru kwa kupenda hii ya leo. .
Mmhhh ile ya jana ilikuwa ni wine tu...
maana nilisikia red wine ni nzuri kwa afya. Hahhaa lol. ..
 
Mi ninaona hii kuwa ni sawa na zile ndoa ambazo wanandoa amehitilafiana na wakaamua kuishi nyumba moja for tthe sake of watoto na watu watasemaje but usiku kila mtu anaingia chumbani kwake- tofauti ni kuwa hujui wazi but unahisi tu kuwa mwenzio ana mahusiano sehemu.

Hao wanaoonyeshana waza mh.......kwangu isingewezekana hasa nikumbuke kuwa yale masarakasi nlokuwa napewa/tolewa mie anapewa mwingine nimjuaye...mh
 
watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....

Je jamani nataka kujua ni wangapi wangekubaliana na hili???

samahani kuhusu dini wao ni wale watu wanaojiita Free Spirit

Nakubaliana.
 
Hii ni ngumu sana hasa kwetu sisi Wabongo maana tuna wivu wa kufa mtu. Ila nchi nyingine mahusiano kama haya yameanza kushamiri ingawaje sidhani kama yataingia katika nchi zetu za Kiafrika.

kama mwanamke ana mtindio wa ubongo labda, pia hujasema ni mtu wa dini gani, kwasababu pamoja na kwamba katika dini yangu mimi kuwa na wake wawili ni upungufu wa akili, kwa wengine kuwa na wake wanne ni bora zaidi.....so, sijui nisemeje?

Wale wenye nyumba ndogo?
 
Back
Top Bottom