Asante. Nakutakia heri na wewe pia. I hope sasa unapambana kutekeleza "ilani ya uchaguzi ya Afrodenzi kwa mwaka 2011."
asante sana...
mmmhh nimeanza campeni lakini so far sio nzuri..
nasubiria muda usonge mbale labda kutachangamka
hahhahahha lol
Haya asante ...........mie nkadhani tunafika wote huko........haha lol....... basi ukifika uniambiemmmhhhhh mbele si kubaya sana..
lakini nilichungulia tu nikifika huko ntakujulisha...
Mambo ni pole pole!! Ikifika june ndo unafanya evaluation kama at least umefikia nusu. Labda mimi kwa June hiyo nitajipima kama nimefanikiwa katika katika kampeni yya Open Spirit. Lol!!!!
asante sana...
mmmhh nimeanza campeni lakini so far sio nzuri..
nasubiria muda usonge mbale labda kutachangamka
hahhahahha lol
Haya asante ...........mie nkadhani tunafika wote huko........haha lol....... basi ukifika uniambie
u'r so considerate, where will I be without u :hug:hahahah itabidi mie nitangulie kwanza..
ka ni kwema basi nta kwambia uje..
lakini ka nikinyumr na hapo borea ubakie hapa
hahah lol
im just looking out for u ..lol:hug:
hahah vituko vipi tena mie nimeshukuru maanake very few pple can do that...mmmmhhhh now u got me thinking mmmmmhhh where will u be without me
hahahahhaha lol
unavituko wewe....
hahah vituko vipi tena mie nimeshukuru maanake very few pple can do that...
looking out for me...............Am I not lost without u? .......LoL
Hahah wee shikilia tuu usiogope LOLmmhh haya sijui tunaelekea wapi...
maana hapa kipofu anamsaidi kipofu kuvuka barabara hahah lol
hahahah itabidi mie nitangulie kwanza..
ka ni kwema basi nta kwambia uje..
lakini ka nikinyumr na hapo borea ubakie hapa
hahah lol
im just looking out for u ..lol:hug:
hahah vituko vipi tena mie nimeshukuru maanake very few pple can do that...
looking out for me...............Am I not lost without u? .......LoL
mmmmhhhh now u got me thinking mmmmmhhh where will u be without me
hahahahhaha lol
unavituko wewe....