Wangapi wanakubaliana na hili?

Hommie naomba hii kesi ya skuli meti mimi niwe wakili lazima tumpe death penalt huyu!

Hehehehehe! Weye bana ndo unafaa kuwa wakili. Ten sauzend si inakutosha hommie?
 
kwa kweli paka hapo umenena sana..
mmmmhh mie binafsi sintokubaliana na hili na wewe je??
 
Hehehehehe! Weye bana ndo unafaa kuwa wakili. Ten sauzend si inakutosha hommie?
Ten sauzend inatosha hommie ba Enock lazima aende lupango bana! Hawezi kutufanyia skulimeti zake hivi kabsaa!
 
Kama wao ni free spirit bado haiwapi uhuru wa kufanya lile lililo kinyume na mila na tamaduni zao. labda tungejua mila zao zinasemaje juu ya hilo.

uwii my dear free spirit ni hawana dini
kwa hiyo hawana kizuizi hapo...
naningependa kusema ni wanaishi nchi hizi za huu mashariki
kwa hiyo hizo mila na desturi mmmhhh ZERO
 
Ten sauzend inatosha hommie ba Enock lazima aende lupango bana! Hawezi kutufanyia skulimeti zake hivi kabsaa!

Baba Enock ni kabaila kama Roya Roy! Mi nikikuambia huwa hunielewi, sasa umeyaona? Yule ni open relationship guy bana.
 
Hivi mtu akicheka huwa anakosa hamu? Kumbe ndo maana bibi ako hanipi baioloji yake kwa kuwa anacheka mara kwa mara. Mungu na amwepushe na kukosa hamu. Amen! (NB usicheke tena utakosa hamu afu utakumbwa na laana ya open rileshenship)

hahahahahahah lol
babu wewe unautani a nguoni lol
mmmhhh mie nikicheka utamu ndo unazidi...
utamu unaouongelea weye mmmhh siujui lol
 
Hivi mtu akicheka huwa anakosa hamu? Kumbe ndo maana bibi ako hanipi baioloji yake kwa kuwa anacheka mara kwa mara. Mungu na amwepushe na kukosa hamu. Amen! (NB usicheke tena utakosa hamu afu utakumbwa na laana ya open rileshenship)
kwa kweli leo umeamua kunichekesha sana..
naona ulikuwa unaisubiria hii topic kwa hamu sana lol
 
Inategemea your definition of love.....
Kupenda, kunaendana na wivu, Je unaweza kupenda bila kuona wivu?

Au unampenda mtu sana yaani hutaki akose furaha, in such a way kwamba upo radhi atimiziwe furaha zake pengine? the short time anayospend na wewe ni bora kuliko kukosa kabisa kuwa nae.

Ukitaka opinion yangu hawa watu they are more of partners / friends; kuliko lovers.... sababu panapo upendo kuna wivu na huu ndio utakuwa mwanzo wa matatizo.

These things zipo katika western countries (wife swapping, swingers etc), huko kwetu na culture yetu ni ngumu
 
kwa kweli leo umeamua kunichekesha sana..
naona ulikuwa unaisubiria hii topic kwa hamu sana lol

Kesho anzisha sredi ya closed releshenshipu nkulize kiduchu ili upate hamu.
(Open = kucheka, Closed = kulia)

Kama kucheka kunaondoa hamu, then kulia kunaongeza hamu.
Haya wanawake wote lieni kwa sauti muongeze hamu......moja...mbili...tatu.... Hamuuuuuu ongezaaaa!
 
asante mkuu..
hapo uliposema panapo upendo kuna wivu
yaani hapo umekanusha kila kitu...

mmmhhhh samahani kuuliza we bado uko single au ulisha mpata kimwana lol
 
asante mkuu..
hapo uliposema panapo upendo kuna wivu
yaani hapo umekanusha kila kitu...

mmmhhhh samahani kuuliza we bado uko single au ulisha mpata kimwana lol

Naona uko kwenye operations SAS....usisahau uliniruhusu niifaili hii kitu Single And Searching project...
 
hahahaahahha lol
aaiii wewe
mmmhh kwa kweli leo nimepatikana...
hivi babau did u ever think to become a comedian lol
 
Naona uko kwenye operations SAS....usisahau uliniruhusu niifaili hii kitu Single And Searching project...

hahaahahahah lol
kumbe akili yako bado inafanya kazi lol
nilidhani tayari uko kwenye ile stage ya kusahau hahahahah lol
 
hahahaahahha lol
aaiii wewe
mmmhh kwa kweli leo nimepatikana...
hivi babau did u ever think to become a comedian lol

Retired comedian! Najaribu kunoa kipaji changu cha zamani....vipi kimekutia au kukutoa hamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…