Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mlinzi shirikishi unataka kumlizisha mpaka babu...be warned!
hahahaahh lol
baba nilidhani umelala lol
Kweli kabisa haya mambo hayataki haraka wala kuwa forced.... siku ukiona anayefaa hata hakuna haja ya kuomba ushauri au kujiuliza mara mbili...
And the best case ukipata, lover, a friend and a partner (all into one) yaani mtu ambae mna same interests, na mnaendana kimawazo.... that a marriage made in heaven...
yaani hapo umesema kila ambacho kinatakiwa kusemwa God Bless..
The Following User Says Thank You to VoiceOfReason For This Useful Post:
afrodenzi (Today)
wewe una kesi ya kujibu siku ile haukutokea
AD,
Hakuna formula mdogo wangu...
Unaweza kwenda taratibu mvua ikakuwahi ukakuta barabara imetota ukaishia kwenye matope. Pia unaweza kuwahi ukapita kabla ya mvua lakini ukakumbana na kimbunga. Mimi huwa naamini kwamba njaa inapokushika hapo hapo kamata msosi. Ukisubiri unaweza kulia kwani huna mkataba na ubongo kuhakikisha njaa yako ni sustainable inakuwa maintained 24/7!
Babu DC
babu DC asante sana kwa ushauri wako mzuri sana
maneno mazito sana hayo nipe muda nitafakari
asante sana
Du kumbe hizi senksi unazitoa kwa ubaguzi? ngoja.....
AD,
Hakuna formula mdogo wangu...
Mimi huwa naamini kwamba njaa inapokushika hapo hapo kamata msosi. Ukisubiri unaweza kulia kwani huna mkataba na ubongo kuhakikisha njaa yako ni sustainable inakuwa maintained 24/7!
Babu DC
Laah Hii Jamani, iishie huko huko!, Afro Densi usijaribu..............
usijali kuhusu hilo kabisa babu
asant sana tena sana....
Hii signature inaweza kunitetea : Floccinaucinihilipilificationism
Ni kweli hakuna formula, thats why we hope for the best.... na inabidi kuwa carefully na sio kufanya haraka.... ukiumwa njaa, ukachukua msosi bila kuangalia kama msosi ni msafi mwisho wa siku utapata food poisoning ni bora ukakiangalia kwanza chakula....
Hivi yule pacha wako Dena kapotezewa wapi? Mhhhhh....nyie wajukuu wa dot.com hata hamueleweki.. Mnapa babu pressure kama nini!
Hivi yule pacha wako Dena kapotezewa wapi? Mhhhhh....nyie wajukuu wa dot.com hata hamueleweki.. Mnapa babu pressure kama nini!