Wangapi wanakubaliana na hili?

We mlinzi shirikishi unataka kumlizisha mpaka babu...be warned!

Aisee inabidi nikuweke road blocks au kama vipi uiishie terminal 4 maana spidi unazoendanazo ni kali sana au unataka kurudi teenager
 
yaani hapo umesema kila ambacho kinatakiwa kusemwa God Bless..
The Following User Says Thank You to VoiceOfReason For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
yaani hapo umesema kila ambacho kinatakiwa kusemwa God Bless..
The Following User Says Thank You to VoiceOfReason For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​

Du kumbe hizi senksi unazitoa kwa ubaguzi? ngoja.....
 
yaani hapo umesema kila ambacho kinatakiwa kusemwa God Bless..
The Following User Says Thank You to VoiceOfReason For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​

AD,

Hakuna formula mdogo wangu...

Unaweza kwenda taratibu mvua ikakuwahi ukakuta barabara imetota ukaishia kwenye matope. Pia unaweza kuwahi ukapita kabla ya mvua lakini ukakumbana na kimbunga. Mimi huwa naamini kwamba njaa inapokushika hapo hapo kamata msosi. Ukisubiri unaweza kulia kwani huna mkataba na ubongo kuhakikisha njaa yako ni sustainable inakuwa maintained 24/7!

Babu DC
 
babu DC asante sana kwa ushauri wako mzuri sana
maneno mazito sana hayo nipe muda nitafakari
asante sana
 
Du kumbe hizi senksi unazitoa kwa ubaguzi? ngoja.....

mmmhhhh babu wewe unataka kunimaliza sasa
nimekupa kila kitu hata maini yangu lakini bado huridhiki...
mimi tu ndo mjuu ambae sijaolewa mpaka leo ajili ya kukutunza wewe
lakini bado una lala mika.............
mmmmmmhhhhhh niki kitoa hapa hunioni
hahaahahaahah lol
 
Laah Hii Jamani, iishie huko huko!, Afro Densi usijaribu..............
 
AD,

Hakuna formula mdogo wangu...
Mimi huwa naamini kwamba njaa inapokushika hapo hapo kamata msosi. Ukisubiri unaweza kulia kwani huna mkataba na ubongo kuhakikisha njaa yako ni sustainable inakuwa maintained 24/7!

Babu DC

Ni kweli hakuna formula, thats why we hope for the best.... na inabidi kuwa carefully na sio kufanya haraka.... ukiumwa njaa, ukachukua msosi bila kuangalia kama msosi ni msafi mwisho wa siku utapata food poisoning ni bora ukakiangalia kwanza chakula....
 
Laah Hii Jamani, iishie huko huko!, Afro Densi usijaribu..............

mmmhh mie huko sintafika kabisa nauhakika...
kama ndo tumeoana na tunawatoto
na nimegundua wangu anafanya hivyo..
mmmmmmmhhhhh anipe bank account yake .....
na awatunze watoto wake vizuri...
haya tutajaribu kuyamalizia mimi na yeye chumbani lol
 
usijali kuhusu hilo kabisa babu
asant sana tena sana....

Hivi yule pacha wako Dena kapotezewa wapi? Mhhhhh....nyie wajukuu wa dot.com hata hamueleweki.. Mnapa babu pressure kama nini!
 
Mhhhhh VoR,

Unaweza kweli kuutambua msosi usio na chance ya kusababisha food poisoning kwa kuungalia kwa macho?

Mhhhhhhhhhhhh....ngoja nitamtafute Maty anikumbushe kama usiku ule wa kasheshe pale mahali hatakuangalia usafi wa chakula!
 
Hivi yule pacha wako Dena kapotezewa wapi? Mhhhhh....nyie wajukuu wa dot.com hata hamueleweki.. Mnapa babu pressure kama nini!

BABU MERRY CHRISTMAS oopppss!!!! dah!! HERI YA MWAKA MPYA
 
Hivi yule pacha wako Dena kapotezewa wapi? Mhhhhh....nyie wajukuu wa dot.com hata hamueleweki.. Mnapa babu pressure kama nini!

hahahaahahah lol
Pacha wangu ye alienda kijijini kumsalimia bibi holiday hii..
babu hata usipatwe na pressure kabisa hajambo na atarudi muda si mrefu....
asante kwa kumuulizia...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…