Wangapi wanamkumbuka huyu?

Wangapi wanamkumbuka huyu?

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Wale wakongwe wa EPL mnamkumbuka huyu mshkaji tupe sifa zake mbili tatu.
B28310C9-79AE-428E-863E-4EE742FB19A8.jpeg
 
Rory delap.
anarusha mpira kama kapiga kwa mguu, stoke city hii, arsenal tulikuwa tunateseka haswa na hii mipira yao ya kurusha.

Umenikumbusha showcross alivyomvunja eduardo.

Hii ni stoke city ya tony pulis.
 
Back
Top Bottom