Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #41
Tumieni hela watoto wazuri wapo; acheni ubahiliWanateleza mbele ya nguzo tano na sakafu na ule umoto wa sabuni ya unga hahahahah! anyway me mwenyewe nipo single karibu wikiendi tuilie kwenye mkesha
Nimeamua kuamia airtel kuanzia leo, nipokee mazima mazima ili mradi tu usinisahaulishe nikashindwa kukumbuka nyumbaniPiga chini huyo, hamia huku airtel
mkuu kwa hapa nilipofikia sidhani kama mapenzi yana utamu zaidi ya usingiziTumieni hela watoto wazuri wapo; acheni ubahili
Wa TOZOSingle katika muktadha upi..
Eee
Maisha ni haya haya, inapobidi kufurahi muhimuView attachment 2344508
Single wanaenjoy imambo
Kwahiyo itakuwaje?[emoji1751]
Kwa nini?mkuu kwa hapa nilipofikia sidhani kama mapenzi yana utamu zaidi ya usingizi
Mpe kampani maisha yasogeeKwahiyo itakuwaje?
Ana dudu sasa,maana asijenitilisha aibu🙄Mpe kampani maisha yasogee
Kwa nini?
function why(){
var me="sipendi tabuuuuuuuu";
var answer= me + " Na watoto wa mtu";
alert(answer);
}
ha ha ha mpe yote yoteAna dudu sasa,maana asijenitilisha aibu🙄
Wengine wapo double na hawana hisia za pamoja......kinachowasaidia kuishi Kuna mwamba amedumuu na mumee anambrmbeleza na kumfariji awe mpolee .... Mke home anaona jamaa mpolee anajua mambo powa kumbe mwamba Huwa anamlegeza mumeee adii anamwona mke ka dada yakeeMaisha ni haya haya, inapobidi kufurahi muhimu
Nipo hapa ufukweni nakula dawa fresh maisha ni baridaaa kabisaSi vizuri kuwa singo, kipindi hiki cha mwiso wa wiki (weekend), wakati unaweza kumshika shati Hamisi/Ashura, na mapumziko ya mwisho wa wiki yakawa safi kabisa.
Yeyote aliye singo wkend hii, anyooshe mkono juu
Nakuskiliza tu wewe madamKwahiyo itakuwaje?
🙄ha ha ha mpe yote yote
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Ana dudu sasa,maana asijenitilisha aibu[emoji849]
Hatari sana mkuuWengine wapo double na hawana hisia za pamoja......kinachowasaidia kuishi Kuna mwamba amedumuu na mumee anambrmbeleza na kumfariji awe mpolee .... Mke home anaona jamaa mpolee anajua mambo powa kumbe mwamba Huwa anamlegeza mumeee adii anamwona mke ka dada yakee
Ooh,Bora umerudi maana mleta mada Kasema nimpe Yeye eti wewe huna uwezo😔ni ya kweli hayo?🤔Nakuskiliza tu wewe madam
Ndivyo inavyotakiwaNipo hapa ufukweni nakula dawa fresh maisha ni baridaaa kabisa