Wangapi wapo singo leo?

Wangapi wapo singo leo?

IMG_20220903_170024_710.jpg
Single wanaenjoy imambo
 
Maisha ni haya haya, inapobidi kufurahi muhimu
Wengine wapo double na hawana hisia za pamoja......kinachowasaidia kuishi Kuna mwamba amedumuu na mumee anambrmbeleza na kumfariji awe mpolee .... Mke home anaona jamaa mpolee anajua mambo powa kumbe mwamba Huwa anamlegeza mumeee adii anamwona mke ka dada yakee
 
Si vizuri kuwa singo, kipindi hiki cha mwiso wa wiki (weekend), wakati unaweza kumshika shati Hamisi/Ashura, na mapumziko ya mwisho wa wiki yakawa safi kabisa.

Yeyote aliye singo wkend hii, anyooshe mkono juu​
Nipo hapa ufukweni nakula dawa fresh maisha ni baridaaa kabisa
 
Wengine wapo double na hawana hisia za pamoja......kinachowasaidia kuishi Kuna mwamba amedumuu na mumee anambrmbeleza na kumfariji awe mpolee .... Mke home anaona jamaa mpolee anajua mambo powa kumbe mwamba Huwa anamlegeza mumeee adii anamwona mke ka dada yakee
Hatari sana mkuu
 
Back
Top Bottom