Inakuwaje wanajamvi!
She is back. Nimeona amelike comment yangu flani. Kwa muda sana alipotea jamvini tukashikwa na wasiwasi. Welcome back Wangari Maathai.
Wengine nao siku hizi wamepotea hearly mng'ato hope everything is well and fine.
Sijawasahau pia maadui kina Barbarosa hopethey are fine ana doing well