Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Soka la Bongo lina viroja sana. Watu waliokosa ustaarabu hadi kung'oa viti uwanja wa Mkapa leo wanadai Yanga ifungiwe kwa vurugu za mashabiki wake.
Waanze kuangalia kwenye mboni ya jicho lao. Na hao vilaza wanaotumwa eti kwenda kuiroga Yanga ipoteze mechi zake, wataishia kutolewa kafara kama ilivyo ada kwa timu yao.
Tatizo hawajui mambo ya timu yao behind the scene.