Wang'oa viti wamekuwa wema?

Wang'oa viti wamekuwa wema?

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,296
Reaction score
18,027
Soka la Bongo lina viroja sana. Watu waliokosa ustaarabu hadi kung'oa viti uwanja wa Mkapa leo wanadai Yanga ifungiwe kwa vurugu za mashabiki wake.

Waanze kuangalia kwenye mboni ya jicho lao. Na hao vilaza wanaotumwa eti kwenda kuiroga Yanga ipoteze mechi zake, wataishia kutolewa kafara kama ilivyo ada kwa timu yao.

Tatizo hawajui mambo ya timu yao behind the scene.
 
Utopolo acheni hasira, timu lenu bado bovu sema tu mechi ilizocheza ilikuwa na bahati. Kuamini kukosa ushindi sababu ya kulogwa hapo unathibitisha maneno ya kocha wenu wa zamani Luc.
Mbumbumbu soma tena uelewe. Au tumwite Rage awaeleweshe?
 
Soka la Bongo lina viroja sana. Watu waliokosa ustaarabu hadi kung'oa viti uwanja wa Mkapa leo wanadai Yanga ifungiwe kwa vurugu za mashabiki wake.
Waanze kuangalia kwenye mboni ya jicho lao.
Na hao vilaza wanaotumwa eti kwenda kuiroga Yanga ipoteze mechi zake, wataishia kutolewa kafara kama ilivyo ada kwa timu yao. Tatizo hawajui mambo ya timu yao behind the scene.
Manyani bado mnaamini kwenye kuloga?
 
Mbumbumbu kuelewa message rahisi ni mtihani sana.
Imani za kichawi mnazo nyie lakini mnahamisha magoli.
 
Eymael atakuwa shujaa kwa muda mrefu kwani hakukurupuka kusema hayo maneno aliwagundua baada ya kukaa nao kwa miezi sita na kadri siku zinavyoenda tunashuhudia kile alichokisema
 
Back
Top Bottom