Mbumbumbu soma tena uelewe. Au tumwite Rage awaeleweshe?Utopolo acheni hasira, timu lenu bado bovu sema tu mechi ilizocheza ilikuwa na bahati. Kuamini kukosa ushindi sababu ya kulogwa hapo unathibitisha maneno ya kocha wenu wa zamani Luc.
Utoporo acheni chokochoko la sivyo mtajuta.Mbumbumbu soma tena uelewe. Au tumwite Rage awaeleweshe?
Na wewe unaamini kua anaweza kuroga!!!!Wakati mwingine mjinga lazima aamshwe. Sasa yule Bonge anatishia kuroga watu. Mbumbumbu mna shida sana.
Wakati mwingine mjinga lazima aamshwe. Sasa yule Bonge anatishia kuroga watu. Mbumbumbu mna shida sana.
Manyani bado mnaamini kwenye kuloga?Soka la Bongo lina viroja sana. Watu waliokosa ustaarabu hadi kung'oa viti uwanja wa Mkapa leo wanadai Yanga ifungiwe kwa vurugu za mashabiki wake.
Waanze kuangalia kwenye mboni ya jicho lao.
Na hao vilaza wanaotumwa eti kwenda kuiroga Yanga ipoteze mechi zake, wataishia kutolewa kafara kama ilivyo ada kwa timu yao. Tatizo hawajui mambo ya timu yao behind the scene.
Sie tutaendelea kupiga bomu monchoari hata hiyo tarehe 18 vile vile...... Endeleeni kutafuta muunganikoManguruwe hamna jipya tena.