mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Kwa muda mrefu sana timu ya majimaji imekuwa haifanyi vyema hali ambayo wangoni na wakazi wa songea hakuna hatua wanayochukua.angalizo mwaka huu hakuna namna lazima timu ishuke.mkoa umekosa uzalendo na hakuna uongozi wa soka.hakuna hamasa watu wanaenda kushudia timu ikifungwa.kali mangonga yupo wapi??tunamkumbuka aliisaidia.kwa nini isiwe kama mbeya city????hiii ni aibu kwa ruvuma.mkuu wa mkoa mkuu wa wilaya wabunge mko wapi litimu linatia aibu hili...timu inapofungwa viongozi mtujibu.au wajibikeni jiuzuruni
Hilo litimu linaendekeza siasa acha lishuke tu kwani hakuna namnaKwa muda mrefu sana timu ya majimaji imekuwa haifanyi vyema hali ambayo wangoni na wakazi wa songea hakuna hatua wanayochukua.angalizo mwaka huu hakuna namna lazima timu ishuke.mkoa umekosa uzalendo na hakuna uongozi wa soka.hakuna hamasa watu wanaenda kushudia timu ikifungwa.kali mangonga yupo wapi??tunamkumbuka aliisaidia.kwa nini isiwe kama mbeya city????hiii ni aibu kwa ruvuma.mkuu wa mkoa mkuu wa wilaya wabunge mko wapi litimu linatia aibu hili...timu inapofungwa viongozi mtujibu.au wajibikeni jiuzuruni