Wangoni na timu mbovu ya Majimaji

Wangoni na timu mbovu ya Majimaji

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
955
Kwa muda mrefu sana timu ya majimaji imekuwa haifanyi vyema hali ambayo wangoni na wakazi wa songea hakuna hatua wanayochukua.angalizo mwaka huu hakuna namna lazima timu ishuke.mkoa umekosa uzalendo na hakuna uongozi wa soka.hakuna hamasa watu wanaenda kushudia timu ikifungwa.kali mangonga yupo wapi??tunamkumbuka aliisaidia.kwa nini isiwe kama mbeya city????hiii ni aibu kwa ruvuma.mkuu wa mkoa mkuu wa wilaya wabunge mko wapi litimu linatia aibu hili...timu inapofungwa viongozi mtujibu.au wajibikeni jiuzuruni
 
Kuwa makini Wangoni wote si mashabiki wa Majimaji
 
Hilo litimu linaendekeza siasa acha lishuke tu kwani hakuna namna
 
Hi timu kuna watu wanajifanya miungu watu wanatanguliza matumbo mbele kuliko uzalendo na kuna mchezo mchafu unachezwa ili timu hii ishuke daraja...aibu kwa watu wa nyumbani
 
Timu haina pesa.changieni timu,acheni kulia mitandaoni.Mpaka sasa mdhamini kawakimbia.Lazima wafungwe maana yawezakua walishindia viazi.
 
Tuna bahati mbaya ya kuwa na viongozi wasiothamini michezo.
 
Back
Top Bottom