Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
Sijakataa lakini babu maini nusu 3500 hapo tu tayari -2500Ila mkuu unakuta unga upo mafuta yapo mchele upo yy ni mbogatu kwa kujibana hiyo hela mbona kubwa mkuu
Cheki mnaf na nchicha upo hadi wa mia 200 sembuse hiyo pesa
Umeona eeeh noma sanaHiyo starehe so kwa usawa huu
Ngoja tuone...
Watu wakiamua kukupigia... hata uoe mnyama, watataka kujua kwa nini, watakupigia tuu...
Cha muhimu follow your heart, don't forget to carry your brain with you...
Cc: mahondaw
Huko sipo mkuu we komaa tyu na CHAPUTA ila kama unampenda ni lazima utamlinda na kumjaliEti utamjengea ukuta ufuge na mbwa mkali na kila kitu utahemea wewe ili asitoke
Sasa najiulza unataka mke wa kuoa au mke wa kufuga mkuu kama una wivu sana mambo ya kuoa sio size yako we jiunge tu ma chama la wana CHAPUTA
Sijakataa kuhusu kuwa na wivu na kumlinda lakini ndugu yangu "Too much is harmful" kila kitu inabidi kiwe na kiasiHuko sipo mkuu we komaa tyu na CHAPUTA ila kama unampenda ni lazima utamlinda na kumjali
Sioni kama ni jambo baya ya mwenzi kuwa na wivu kwa mwenzio coz mapenzi ya kweli ma kama unampenda mtu lazma jelouse mingi mkuu
Usiseme hivyo nadhani sio kila anae kushauri ule pili pili et hajui makali yake ndugu yangu uchungu wa mke naujua vizur na nina experience ya kutosha mke mwache tu aitwe mkeSawa ila we hujajua uchungu wa mke anafananaje huenda ume expirience wapenzi labda
Yeaaaap mke ndo anabeba dhamana ya familia kiujumla pia mke ndo anayepanga mipango ya watt waishi vepe wakati huo huo we unabaki na jukum la utafutaji sasa kama mapenzi tena yatabaki kuwa pasua kichwa mambo hayaendi mkuuUsiseme hivyo nadhani sio kila anae kushauri ule pili pili et hajui makali yake ndugu yangu uchungu wa mke naujua vizur na nina experience ya kutosha mke mwache tu aitwe mke
Nashukuru mungu kwa kunipa mke kama huyu nilie nae ana idea ambazo zinafanya nikitaka kumwambia kitu lazima nikifikirie mara mbili mbili coz yuko very brightYeaaaap mke ndo anabeba dhamana ya familia kiujumla pia mke ndo anayepanga mipango ya watt waishi vepe wakati huo huo we unabaki na jukum la utafutaji sasa kama mapenzi tena yatabaki kuwa pasua kichwa mambo hayaendi mkuu
Sasa utataka vepe umpoteze mwanamke kama huyo ukizingatia kunakijamaa kinamnyapiaNashukuru mungu kwa kunipa mke kama huyu nilie nae ana idea ambazo zinafanya nikitaka kumwambia kitu lazima nikifikirie mara mbili mbili coz yuko very bright
Nikimbaini huyo mtu nitakacho mfanya sitaki kuandika hapa ila lazima ajutie maisha yake yooteSasa utataka vepe umpoteze mwanamke kama huyo ukizingatia kunakijamaa kinamnyapia
Hatusemi wasitongozwe la hasha ila fikiria kama mwanamke adanganywa na pipi mkuu na chupi anavua ni kitu cha kuchukulia seriouse sana mkuu
Mazingira alo jiwekea yanamfanya hata huyo mwenye lengo la kumtongoza akose pa kuanzia nahisi ni hivyo tuSasa ndo maana ya heading kuwa ivi wangu hatongozwi kwann?
Tuanzie hapo