Wangu hatongozwi kwanini?

Wangu hatongozwi kwanini?

Ila mkuu unakuta unga upo mafuta yapo mchele upo yy ni mbogatu kwa kujibana hiyo hela mbona kubwa mkuu

Cheki mnaf na nchicha upo hadi wa mia 200 sembuse hiyo pesa
Sijakataa lakini babu maini nusu 3500 hapo tu tayari -2500
 
Ngoja tuone...

Watu wakiamua kukupigia... hata uoe mnyama, watataka kujua kwa nini, watakupigia tuu...

Cha muhimu follow your heart, don't forget to carry your brain with you...

Cc: mahondaw
 
Sasa kumbe hakuna haja ya kuchagua mke kwa kufuata yale yanatozingatiwa ili kupata mke bora

Je swali la ufahamu endapo utagundua mwenzi wako anatabia za namna hiyo UTAMUACHA ????
Ngoja tuone...

Watu wakiamua kukupigia... hata uoe mnyama, watataka kujua kwa nini, watakupigia tuu...

Cha muhimu follow your heart, don't forget to carry your brain with you...

Cc: mahondaw
 
Eti utamjengea ukuta ufuge na mbwa mkali na kila kitu utahemea wewe ili asitoke
Sasa najiulza unataka mke wa kuoa au mke wa kufuga mkuu kama una wivu sana mambo ya kuoa sio size yako we jiunge tu ma chama la wana CHAPUTA
 
Huko sipo mkuu we komaa tyu na CHAPUTA ila kama unampenda ni lazima utamlinda na kumjali

Sioni kama ni jambo baya ya mwenzi kuwa na wivu kwa mwenzio coz mapenzi ya kweli ma kama unampenda mtu lazma jelouse mingi mkuu
 
Sijakataa kuhusu kuwa na wivu na kumlinda lakini ndugu yangu "Too much is harmful" kila kitu inabidi kiwe na kiasi
 
Sawa ila we hujajua uchungu wa mke anafananaje huenda ume expirience wapenzi labda
 
Usiseme hivyo nadhani sio kila anae kushauri ule pili pili et hajui makali yake ndugu yangu uchungu wa mke naujua vizur na nina experience ya kutosha mke mwache tu aitwe mke
 
Yeaaaap mke ndo anabeba dhamana ya familia kiujumla pia mke ndo anayepanga mipango ya watt waishi vepe wakati huo huo we unabaki na jukum la utafutaji sasa kama mapenzi tena yatabaki kuwa pasua kichwa mambo hayaendi mkuu
 
Nashukuru mungu kwa kunipa mke kama huyu nilie nae ana idea ambazo zinafanya nikitaka kumwambia kitu lazima nikifikirie mara mbili mbili coz yuko very bright
 
Sasa utataka vepe umpoteze mwanamke kama huyo ukizingatia kunakijamaa kinamnyapia
Hatusemi wasitongozwe la hasha ila fikiria kama mwanamke adanganywa na pipi mkuu na chupi anavua ni kitu cha kuchukulia seriouse sana mkuu
 
Nikimbaini huyo mtu nitakacho mfanya sitaki kuandika hapa ila lazima ajutie maisha yake yoote
 
Haya bhana mkuu ila sema hata kama umuweke wap lazima atongozwe tyu mkuu kama ivo hamna jua sio mzr labda
 
Back
Top Bottom