Niliona You tube nikafatilia pia page Mary Kory,Christmass walikuwa likizo na mme wake na watoto. Judy itakuwa wivu ulikuwa unamsumbua. Hata siku ameenda kwa Mary. Kori alilala kwa mke wake Mary. Hii issue ni fundisho pia. Kuwa Nyumba ndogo hazifurahii uwepo wa mahusiano ya mke na mmewe.
Mary kamangara kori ni page yake ya facebook.
Grace alihojiwa mwanzoni,anasema naamini Kori ni innocent cause he loves hard. Tena anasema aliwahigi kumpigia simu Mary. Baadae Kori akajua akamfokea Grace na kumlazimisha apige simu kwa Mary kumuomba msamaha. Imagine mme anamwambia mkewe eti akamwombe msamaha mchepuko. Grace lazima kafurahia maana anakumbuka Mary ndo alikuwa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yake.Dah!! Kweli malipo hapa hapa duniani mkuu,navuta picha Grace atakuwa anasherehekea kimya kimya.
Jamaa atakuwa anawatembezea koki sana maana iyo mipango ya kando watakuwa wengi tofauti na Judy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana acha upumbavu!Haya mambo yanatokea sana, sina ubaguzi wa Kikabila ila Kikuyu women ni cold blooded. Hata miongoni mwa jamii yao wanatambuana kwa maeneo na tabia zao; Nyeri, Kiambuu, Murang'a
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui wakikuyu walikufanyia nini na wewe ni mtanzania.
Kisu kwenye mfupa unatoa povu,ingekua imetokea TZ hiyo sipati picha caption ambayo ungeiwekea!Kijana acha upumbavu!
Kule nilikuambia kila sehemu washenzi wapo baada ya kuwaita wa TZ wauaji,ss hapa sijui hao kina wambui nao ni Wa TZ!Sijui wakikuyu walikufanyia nini na wewe ni mtanzania.
Anyway, did you have to generalize? You want us to believe that every Kikuyu woman is diabolical coz mmoja ametekeleza mauaji? Discard that medieval brain and purchase another one!
Yani ile video ya You tube inaonyesha kama Wale jamaa walikuwa wanaifatilia ile gari khaa[emoji23][emoji23][emoji23]CCTV camera oyeeeee!
Body language inaonesha wazi mlishwaji hakuwa na guts za kumwangalia mwenzake usoni..Hawa kina dada zetu na mama zetu saa zingine huwa siwaelewagi. Nani angeamini kwamba Judy Wangui angemuua mwenzake Mary Wambui na kutupa mwili wake kwenye dimbwi la maji lisaa limoja baada ya kulishana nyama na kujivinjari pamoja? Sio jambo la kawaida kwa mwanaume kuficha hasira na chuki dhidi ya mtu mwingine virahisi hivi. Wakati wa ngumi ni wa ngumi, yakiisha yanaisha kweli.
Kule nilikuambia kila sehemu washenzi wapo baada ya kuwaita wa TZ wauaji,ss hapa sijui hao kina wambui nao ni Wa TZ!
Kwa sakata yote hii nalaumu njemba lenyewe, ameingilia mchezo wa watu bila kuzingatia vigezo na masharti.
Kuchepuka kunahitaji ujanja na utumiaji wa akili, halafu hakikisha mchepuko wako anaelewa nafasi yake, asije kujichanganya wala hata siku moja, aelewe kwa vyovyote vile yeye ana mpaka wake na haruhusiwi kuvuka hadi kwenye kumi na nane za mkeo.
Huyu jamaa alitundika picha zake kwenye ukuta wa mchepuko wake, wapi umewahi kuskia upumbavu kama huo.
ila watu wa central kenya hamna tofauti na watu wa kasikazini mwa tanzania kwenye kutafuta mafanikio.Kwa sakata yote hii nalaumu njemba lenyewe, ameingilia mchezo wa watu bila kuzingatia vigezo na masharti.
Kuchepuka kunahitaji ujanja na utumiaji wa akili, halafu hakikisha mchepuko wako anaelewa nafasi yake, asije kujichanganya wala hata siku moja, aelewe kwa vyovyote vile yeye ana mpaka wake na haruhusiwi kuvuka hadi kwenye kumi na nane za mkeo.
Huyu jamaa alitundika picha zake kwenye ukuta wa mchepuko wake, wapi umewahi kuskia upumbavu kama huo.
Mauaji ya kwenu hayana mfano duniani, mnachinja albino na watoto na kunyofoa viungo vyao eti viwatajirishe na wengine kuamini vitawasaidia kushinda kwenye uchaguzi. Akili za ovyoo sana zenu nyie.
Mauaji baina ya michepuko ni jambo la kawaida kwenye historia ya dunia, kawaida kwenye mahusiano ya ndoa ukiingiza mtu wa tatu na bila kuwa makini kwa jinsi unavyocheza huo mchezo, lazima utegemee majanga. Mwanaume lazima ujue kupanga karata zako, weka mchepuko mbali na mkeo, hakikisha usiri wa kiajabu.
Halafu hapo kwenu kuna maeneo mkoa wa Kilimanjaro huwa naskia wanawake huishi wenyewe baada ya kuwaua waume zao, hebu nihadithie kisa nini.
[emoji1][emoji1][emoji1] Jombaa huo hapo sasa ndio utamu wa kitimoto. Huwezi tafuna hiyo kitu ukiwa umekodoa macho.Body language inaonesha wazi mlishwaji hakuwa na guts za kumwangalia mwenzake usoni..
Jr[emoji769]
ila watu wa central kenya hamna tofauti na watu wa kasikazini mwa tanzania kwenye kutafuta mafanikio.
kwenu kuondoa uhai wa mtu ili mfanikiwe kimaisha ni jambo la kawaida sana.
slogan yenyu ni "mafanikio kwanza, utu na ubinadamu baadaye".
rafiki yangu mmoja mkenya aliwahi kunisimulia visa na mikasa ya kutisha ya baadhi ya watu wa central kenya iliyopelekea kufanikiwa kwao kibiashara. inatisha sana.