Mauaji ya kwenu hayana mfano duniani, mnachinja albino na watoto na kunyofoa viungo vyao eti viwatajirishe na wengine kuamini vitawasaidia kushinda kwenye uchaguzi. Akili za ovyoo sana zenu nyie.
Mauaji baina ya michepuko ni jambo la kawaida kwenye historia ya dunia, kawaida kwenye mahusiano ya ndoa ukiingiza mtu wa tatu na bila kuwa makini kwa jinsi unavyocheza huo mchezo, lazima utegemee majanga. Mwanaume lazima ujue kupanga karata zako, weka mchepuko mbali na mkeo, hakikisha usiri wa kiajabu.
Halafu hapo kwenu kuna maeneo mkoa wa Kilimanjaro huwa naskia wanawake huishi wenyewe baada ya kuwaua waume zao, hebu nihadithie kisa nini.