mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Sisi tunakwama wapi? Wahindi wanaona fahari sana kutumia mavazi kama njia ya kutambulisha utaifa wao, hali kadhalika wa-nigeria. Waarabu pia wako vizuri katika hili.
Hivi imeshindikana kabisa wabunifu wetu wa mavazi wakabuni vazi kama utambulisho wa Taifa letu? Cha maana liwe ni vazi lenye staha tu.