mwanamabadiliko inawezekana ukawa na pointi, je waweza kutupati kitu kimoja tu kinachokufanya useme Kiba yupo juu zaidi ya DIAMOND ??????????Hzo comments zote ni za diamond mwenyewe. Kiba yupo juu
mwanamabadiliko inawezekana ukawa na pointi, je waweza kutupati kitu kimoja tu kinachokufanya useme Kiba yupo juu zaidi ya DIAMOND ??????????
Hzo comments zote ni za diamond mwenyewe. Kiba yupo juu
Numb by rihanna
Numb by usher reymond
Numb by likinpark ft jay z
Kama unajua mziki utoshangaa tittle za nyimbo kufanana
Ciara sorry
Justin bieber sorry
Numb by rihanna
Numb by usher reymond
Numb by likinpark ft jay z
Kama unajua mziki utoshangaa tittle za nyimbo kufanana
Ciara sorry
Justin bieber sorry
Hzo comments zote ni za diamond mwenyewe. Kiba yupo juu
Nawajua hawana hoja ila chuki ndio zilizowajaa lakini nilitaka kuona uwezo wake wa uelewa kwenye muziki.Acha hizo mkuu, hivi hujawazoea hawa team bushman??? wanachofanya ni kujisogeza sogeza kwa Diamond, kila anapoongelewa walete mtuwao aonekane na yeye yupo.. Sasa ni kuwapuuza tu!!!
Je utanipenda by Mike T