Wanigeria wamfungukia Diamond

Wanigeria wamfungukia Diamond

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Katika pitapita yangu leo nilipitia moja ya mtandao wa mziki maarufu nchini nigeria notjustok.com ukiachana na tooexclusive ambapo hii leo walikuwa wameweka video mpya ya chibu dangote, mond bin laden diamond matuzo mr icon ya utanipenda na maoni yao yalikuwa hivi
 

Attachments

  • Screenshot_2015-12-13-18-14-56.png
    Screenshot_2015-12-13-18-14-56.png
    84 KB · Views: 2,220
  • Screenshot_2015-12-13-18-14-41.png
    Screenshot_2015-12-13-18-14-41.png
    47.3 KB · Views: 2,063
  • Screenshot_2015-12-13-18-14-29.png
    Screenshot_2015-12-13-18-14-29.png
    46.1 KB · Views: 2,015
Niliona hzo comments jana. Hua napitia sna notjustok.com tooXclusive.com na 360nobs.com kusoma comments za mapopo Mondi bin Awards anapoachiaga mziki"
Mapopo tayari wana MondiPhobia na huu ugomjwa hauna dawa hakuna namna nikuwapa hit aft hit
 
mwanamabadiliko inawezekana ukawa na pointi, je waweza kutupati kitu kimoja tu kinachokufanya useme Kiba yupo juu zaidi ya DIAMOND ??????????

Acha hizo mkuu, hivi hujawazoea hawa team bushman??? wanachofanya ni kujisogeza sogeza kwa Diamond, kila anapoongelewa walete mtuwao aonekane na yeye yupo.. Sasa ni kuwapuuza tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Numb by rihanna
Numb by usher reymond
Numb by likinpark ft jay z
Kama unajua mziki utoshangaa tittle za nyimbo kufanana
Ciara sorry
Justin bieber sorry

Mwongezee na song hizi hapa
Mwenye nyimbo kamiili ni SKYLAR GREY
Skylar grey- Love the you lie
Eminem ft Rihanna-Love the way you lie
Westlife-love the way you lie
Shusha-Love the way you lie
Mwambie ashangae masupastaaa wa muziki apo duniani,sichongi sana.
 
Numb by rihanna
Numb by usher reymond
Numb by likinpark ft jay z
Kama unajua mziki utoshangaa tittle za nyimbo kufanana
Ciara sorry
Justin bieber sorry

Hater hahitaji sababu, vyote hivyo anavifahamu vizuri tu..!! Kama vipi waendelee kuugulia.
 
Acha hizo mkuu, hivi hujawazoea hawa team bushman??? wanachofanya ni kujisogeza sogeza kwa Diamond, kila anapoongelewa walete mtuwao aonekane na yeye yupo.. Sasa ni kuwapuuza tu!!!
Nawajua hawana hoja ila chuki ndio zilizowajaa lakini nilitaka kuona uwezo wake wa uelewa kwenye muziki.
 
18 December ===> Uganda
25 December ===> Dar, leaders club
28 December ===> Nigeria, Oweri

Je UTANIPENDA???
 
Back
Top Bottom