LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Kuna thread iliripotig "REDBULL NI HATARI DANGER KWA AFYA YAKO" Je? Kuna yeyote alipata kusikia madhara yake? Ama ilikuwa ni propaganda ya Biashara. Mi nilikatizaga pamoja na ss nataka niikaribie tena,Twendeni pamoja kwa aliye na news kuhusu hilo. Karibuni!
