Wankyo Nyigesa, RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi

Lile swali la Siro anamjibu nani majibu ni hayo hapo. Wameanza kujitokeza
 
Hana kosa na Sirro ni mstaafu soon kama hamjui mtulie
 

Kwani mwenye ofisi naye anasema je?
 
Ivi hii imekaaje wanazengoo ..mtu cheo cha chini ana challenge superior...AH ILA BASI TZ KUNA KILA KIOJA
 
Badala akuote kwenye vitu vya msingi we unataka akuote IGP.! Hovyo kabisa.
 
Binafsi sioni shida
Ata Mimi huku nilipo siku 1 nataman kufika ngazi ya juu kabisa
Mbona ata watu uanza kutangaza Nia mapema ata raisi akiwa bado madarakani
RPC Yuko sawa kabisa ni lazima tuwe na malengo ya kufika juu na nafas ya juu huko alipo ni kuwa IGP

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Maandiko matakatifu yanatushauri na kutuasa kuwa na "Na tunene kwa busara na hekima"....Na pale tunapojisikia kupungukiwa na vitu hivyo basi tunaaswa kuwa na "tukae kimya"......(yaani "Ukimya" unatosha)

Napata wasiwasi na 'busara na hekima' ya kiongozi huyu mwenye njozi ya kuwa IGP......Hivi ameshindwa kusoma alama za nyakati na hata yale yaliyomponza Ndugai majuzi kati?

Anyway, wacha tuwaachie mabosi wake (Sirro na Mama) wakitafakari ombi la muombaji🙂 teh teh
 

IGP ni cheo cha uteuzi
 
Tanzania hatujafikia level HYo ya ustaarabu, Leo jaji akihojiwa akaonyesha Nia ya kuwa jaji mkuu, atanyoshewa kidole, hta yeye ajiandae Kuwashiwa moto na wabaya wake.
 
Ni ya kweli hii? Au kama zile video za Buza kutafsiri...picha picha katika vibanda?
 
u-IGP ni nafasi kubwa sana hata jiwe mwenyewe aliitamani lakini hakuipata
 
Kuna ngazi fulani ukifikia aidha cheo ama umri mambo ya masikhara yapaswa kuyaacha mara moja... yeye si comedian ni kiongozi kila anachoongea mbele ya umma kina chukuliwa kwa uzito
Ww ndio wale wale wakipata uongozi unajitutumua kama kifutu na kununa kila sasa.
Kuna maisha nje ya kazi na vyeo, ilikuwa hafla /sherehe ulitaka awe kama yuko kwenye gwaride? Acha ushamba wa kijinga maisha sio complicated hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…