Wankyo Nyigesa, RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi

Ndio kusema IGP sirro uwezo wake uko questionable hata na walio chini yake.
 
ACP Wankyo anaweza kuwa Polisi bora anayetumia akili na busara kwenye kazi zake.

Nakumbuka wakati wa Uchaguzi alizuia msafara wa Tundu Lissu kipindi ambacho Mh Tundu Lissu alizuiliwa kufanya kampeni kwa siku saba

Kamanda alisema sisi kama jeshi la polisi tutamhakikishia Usalma wa Mgombea Urais Tundu Lissu pamoja na msafala wake hata kwa masaa 48. Baadae jioni aliachia msafara ukaendelea na kampeni zikasonga mbele bila kudhuru mtu.
 
ACP wankiyo anaamini ktk Competence badala ya uteuzi tu wa hapa na pale.

Anaamini anaweza kuliko IGP wa sasa.
 
Ijp
 
Huyu anayetamani kuwa IGP ameshindwa kuwazuia askari wake kukamata vijana wa bodaboda, yaani kwenye mkoa anaousimamia polisi wanaamka Asubuhi wanaingia barabarani kwa ajili ya kukamata pikipiki tu, yaani siyo trafiki au siyo polisi wengine wote kazi yao ni kusaka pikipiki na kuchukua pesa kwa vijana wanahitaji kupata mkate wa kila siku kwa ajili ya familia zao sasa akipewa u IGP sijui itakuwaje
 
Duuuhhh......akipelekwa Desk Kule HQ Dom atamlilia Nani? Ngoja tuone! Au jamaa alishaweka kambi Mkoa wa Pwani ? As huwezi kutoka Bandari ya DSM Na usipite Mkoa wa Pwani!!!!!!kipolisi Pwani kitovu cha ulaji!!!!!
Kama ulijua kashaenda HQ
 
🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Comedian kabisa huyu🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…