Easyway
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 2,606
- 3,710
kwenye shindano la miss Tanzania nilimuona mwanamuziki wa nyimbo za asili Wanne star akiimba nyimbo za kundi la Makhirikhiri ,sijaelewa kwanini alifanya hivyo,na sijui kama alizingatia sheria ya hati miliki.
Binafsi nimekerwa sana na kitendo chake cha kuimba nyimbo za asili za taifa lingine kwenye shindano la Kitanzania,siamini kama wanne ameishiwa kiasi hicho hasa ikizingatia utajiri mkubwa wa nyimbo za asili za kitanzania ,tuna makabila mengi sana yenye nyimbo na tamaduni mbalimbali ,tafadhali Wanne ongeza ubunifu acha kuiga.