Wanne star kuimba nyimbo za Makhirikhiri

Wanne star kuimba nyimbo za Makhirikhiri

Easyway

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
2,606
Reaction score
3,710
kwenye shindano la miss Tanzania nilimuona mwanamuziki wa nyimbo za asili Wanne star akiimba nyimbo za kundi la Makhirikhiri ,sijaelewa kwanini alifanya hivyo,na sijui kama alizingatia sheria ya hati miliki.

Binafsi nimekerwa sana na kitendo chake cha kuimba nyimbo za asili za taifa lingine kwenye shindano la Kitanzania,siamini kama wanne ameishiwa kiasi hicho hasa ikizingatia utajiri mkubwa wa nyimbo za asili za kitanzania ,tuna makabila mengi sana yenye nyimbo na tamaduni mbalimbali ,tafadhali Wanne ongeza ubunifu acha kuiga.
 
Me mwenyewe ameniboa sana.ukizingatia ule wimbo wa pili unataja kabisa botswana
 
Kipi ambacho hamkielewi kuhusu the so called wasanii wetu?wote ni ni copy paste,chunguza nyimbo za vijana wetu ovyo tu,bora yeye ni jasiri anadhihirisha wazi kuwa anaiga nyimbo ya fulani ,wengine wanabadirisha lugha ni kujifanya watunzi!
 
vipi KWAITO, hawakucheza all throughoutt??? naskia ni style toka kwa MADIBA...
 
Back
Top Bottom