Wanne wafariki dunia ajali ya Hiace

Wanne wafariki dunia ajali ya Hiace

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Watu wanne wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya gari dogo la abiria aina ya hiece lenye usajili namba T339 DBV lililokuwa lilitoka Izibya kwenda Bukoba mjini mkoani Kagera kupata ajali eneo la Kyetema.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera ACP Brasius Chatanda amesema kuwa ajali hiyo imetokea kutokana na uzembe wa Dereva.

Ajali.png
 
Uzembe wa suka.....kamanda kashasema

Poleni....

Ova
 
Back
Top Bottom