GE2025 Wanu Ameir: Tumeshuhudia ongezeko la ajira chini ya uongozi wa Dkt. Samia na Dkt. Mwinyi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ameir, ambaye pia ni mgombea Ubunge Makunduchi, amesema, "Tumeshuhudia ongezeko la ajira kwa vijana katika sekta tofauti, hasa kwenye sekta ya uchumi wa bluu. Pia, tumeshuhudia mapinduzi ya uchumi wa watu, hasa kwa mtu mmoja mmoja."

​
 
Kweli kabisa. Hakuna asiyeona kwamba Abdul ni bilionea na Wanu bilionea, na anatarajia kuwa mbunge, na yamewezekana haya baada ya mama na mjomba kukali ikilu za magogoni na zanzibar.
 
Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ameir, ambaye pia ni mgombea Ubunge Makunduchi, amesema, "Tumeshuhudia ongezeko la ajira kwa vijana katika sekta tofauti, hasa kwenye sekta ya uchumi wa bluu. Pia, tumeshuhudia mapinduzi ya uchumi wa watu, hasa kwa mtu mmoja mmoja."

Anadanganya kwa hisia kali sana kama mama yake...

Ila nimemwelewa sana hapo aliposema uchumi wa mtu mmoja mmoja, maana kabla mama yake hajaokota dodo chini ya mkaratusi, hatukuwahi kuona watu wakimiliki magari ya mabilioni wakiyahifadhi tu ndani.
 
Back
Top Bottom