Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
SureLike mother, like daughter.
Kweli kabisa. Hakuna asiyeona kwamba Abdul ni bilionea na Wanu bilionea, na anatarajia kuwa mbunge, na yamewezekana haya baada ya mama na mjomba kukali ikilu za magogoni na zanzibar.Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ameir, ambaye pia ni mgombea Ubunge Makunduchi, amesema, "Tumeshuhudia ongezeko la ajira kwa vijana katika sekta tofauti, hasa kwenye sekta ya uchumi wa bluu. Pia, tumeshuhudia mapinduzi ya uchumi wa watu, hasa kwa mtu mmoja mmoja."
Anadanganya kwa hisia kali sana kama mama yake...Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ameir, ambaye pia ni mgombea Ubunge Makunduchi, amesema, "Tumeshuhudia ongezeko la ajira kwa vijana katika sekta tofauti, hasa kwenye sekta ya uchumi wa bluu. Pia, tumeshuhudia mapinduzi ya uchumi wa watu, hasa kwa mtu mmoja mmoja."