GE2025 Wanu H. Ameir ateuliwa na CCM Ubunge Jimbo la Makunduchi

GE2025 Wanu H. Ameir ateuliwa na CCM Ubunge Jimbo la Makunduchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430

WANU H. AMEIR ATEULIWA NA CCM UBUNGE JIMBO LA MAKUNDUCHI​

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Ndugu Wanu Hafidh Ameir kugombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba 2025

Uteuzi huu ni sehemu ya majina ya wagombea walioteuliwa rasmi na CCM kupeperusha bendera ya chama hicho kuwania ubunge katika majimbo mbalimbali nchini yaliyotangazwa, tarehe 23 Agosti, 2025, jijini Dodoma.

Hongera sana Ndugu Wanu Ameir kwa kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge kwa tiketi ya CCM. Kila la heri katika kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2025.

Soma pia GE2025 - Wanu Ameir aibuka kinara kwa kupata kura 1,356 - Jimbo la Makunduchi
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2025-08-24 at 12.31.46.jpeg
    WhatsApp Image 2025-08-24 at 12.31.46.jpeg
    458.1 KB · Views: 35
  • WhatsApp Image 2025-08-24 at 12.19.44.jpeg
    WhatsApp Image 2025-08-24 at 12.19.44.jpeg
    35.1 KB · Views: 36
Back
Top Bottom