Wanu Hafidh Ameir achangia Milioni 10 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Rufiji

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

MHE. WANU HAFIDH AMEIR ACHANGIA MILIONI 10 YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA RUFIJI

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Unguja Kusini tarehe 30 Julai, 2024 alifungua Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji na kuchangia Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya kutatua changamoto zao ikiwemo kumalizia ujenzi wa nyumba ya Mtumishi UWT, kuendeleza miradi yao pamoja na kununua simu za kusajilia wanachama kielektroniki.

Mbunge Wanu Hafidh Ameir amewaomba Wazazi hasa Wanawake kulinda Watoto dhidi ya vitendo vya kikatili kwa watoto lakini pia Kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura; Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuchagua viongozi bora; Kugombea nafasi mbalimbali.

Aidha, UWT Wilaya ya Rufiji wamemvisha rasmi Mbunge Wanu Hafidh Ameir vazi la asili ya Rufiji maarufu kama vazi la Bibi Titi wakati alipofika akiwa ni Mgeni rasmi kwenye Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji katika ukumbi wa FDC Rufiji.

Zoezi la kumvisha vazi rasmi la Biti Titi limefanyika kwa Uongozi wa Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Rufiji, Rehema Mlawa na Katibu wa UWT Wilaya ya Rufiji Mariam Mugasha kwa niaba ya akinamama wa wilaya hiyo.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2024-07-30 at 22.36.09(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-07-30 at 22.36.09(1).jpeg
    555.7 KB · Views: 12
  • WhatsApp Image 2024-07-30 at 22.36.09(2).jpeg
    WhatsApp Image 2024-07-30 at 22.36.09(2).jpeg
    445.2 KB · Views: 12
  • WhatsApp Image 2024-07-30 at 22.36.11(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-07-30 at 22.36.11(1).jpeg
    606 KB · Views: 9

MHE. WANU HAFIDH AMEIR ACHANGIA MILIONI 10 YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA RUFIJI

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Unguja Kusini tarehe 30 Julai, 2024 alifungua Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji na kuchangia Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya kutatua changamoto zao ikiwemo kumalizia ujenzi wa nyumba ya Mtumishi UWT, kuendeleza miradi yao pamoja na kununua simu za kusajilia wanachama kielektroniki.

Mbunge Wanu Hafidh Ameir amewaomba Wazazi hasa Wanawake kulinda Watoto dhidi ya vitendo vya kikatili kwa watoto lakini pia Kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura; Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuchagua viongozi bora; Kugombea nafasi mbalimbali.

Aidha, UWT Wilaya ya Rufiji wamemvisha rasmi Mbunge Wanu Hafidh Ameir vazi la asili ya Rufiji maarufu kama vazi la Bibi Titi wakati alipofika akiwa ni Mgeni rasmi kwenye Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji katika ukumbi wa FDC Rufiji.

Zoezi la kumvisha vazi rasmi la Biti Titi limefanyika kwa Uongozi wa Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Rufiji, Rehema Mlawa na Katibu wa UWT Wilaya ya Rufiji Mariam Mugasha kwa niaba ya akinamama wa wilaya hiyo.

Royal Family
 
mtoto wa rais huyo Wana hela za kuchota tuu.
 
Maigizo.

Zinachukuliwa mfuko wa kulia wanahamishia mfuko wa kushoto
 
Samia asili yake ni mndekereko
Rufiji ni kwao

Ova
Rufiji ni Jimbo la mh Mohammed Mchengerwa waziri wa TAMISEMI na ambaye ndiye mume wa mh Wanu Ameir bint wa Rais Samia. Kwahiyo msaada aliopeleka Rufiji ni zawadi iliyopelekwa ukweni. HONGERA ZAKE.
 
Back
Top Bottom