GE2025 Wanu Hafidh Ameir Mgombea mteule Ubunge Jimbo la Makunduchi awapatia Reflectors Maafisa Usafirishaji

GE2025 Wanu Hafidh Ameir Mgombea mteule Ubunge Jimbo la Makunduchi awapatia Reflectors Maafisa Usafirishaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Maafisa usafirishaji maarufu kama Bodaboda leo wamempongeza mbunge mteule wa jimbo la Makunduchi lililopo Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kusini Visiwani Zanzibar Wanu Hafidh Ameir kwa kuwapa reflector kwaajili ya usalama wanapofanya shughuli zao za usafirishaji

Maafisa usafirishaji hao wametoa pongezi hizo kwa wawakilishi wa Mheshimiwa Wanu wakati wakikabidhiwa vifaa hivyo vya kampeni katika maeneo mbali mbali ya Jimbo la Makunduchi

Mbali na Maafisa Usafirishaji, pia Mheshimiwa Wanu amewapa vifaa vya kampeni wakaazi wengine wakiwemo kina mama na wazee

Mheshimiwa Wanu ni mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Makunduchi ambapo endapo atafanikiwa kupita atawakilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania


 
Kabla ya kuleta hayo Maigizo
Unakemea kwanza kufungiwa hili jukwaa kwa sheria kandamizi zilizotungwa na hao hao wanasiasa
 
Back
Top Bottom