GE2025 Wanu Hafidh Ameir: Nimegombea Jimbo la Makunduchi maana tuko nyuma kwenye kila kitu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Wanu ameyasema hayo huko Viwanja vya Mtende kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho kwa Wilaya ya Kusini Unguja, uzinduzi huo Mgeni rasmi ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla.

Akagombea kwa Mama yake kizimkazi.
 
Wakuu,

Wanu ameyasema hayo huko Viwanja vya Mtende kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho kwa Wilaya ya Kusini Unguja, uzinduzi huo Mgeni rasmi ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla.

Huyu ameongea ukweli kabsa na katika hili simpingi kabsa.

Tatizo haya maneno angeyasema mpinzani angeshambuliwa akaambiwa ni uongo.
 
1757957628529.jpeg
 
Back
Top Bottom