Wanu tafadhali mwambie mama yako amrudishe Humprey Polepole akiwa hai

Wanu tafadhali mwambie mama yako amrudishe Humprey Polepole akiwa hai

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,844
Reaction score
9,916
Hayo ni maelekezo yangu kwako Wanu, najua unampenda sana mama yako, sasa mwambie afanye hivyo maramoja.

Maelekezo haya ni AMRI.
 
Mwenye mamlaka ya kumrudisha kwa sasa ni Mungu tu … Parapanda likilia au mapenzi yake yakitimizwa
 
ukweli mtupu HAYUKO HAI TENA.
kwenye kukamatwa kaleta upinzani na migomo kapondwa sana na kupelekea kuvuja damu maeneo mbalimbali na ubongoni ilipopelekea kifo chake.

anyway na CCM yake mpya ni hakika.

watu wanasema alikuwa na majivuno na hapokei simu wala kujibu sms na namba kawapa mwenyewe.

kila sarafu ina upande miwili ila HPOLEPOLE karudi kwenye chanzo kama kila ben saanane BYEBYE
from Mwananchi mmoja raia wa wa Tanzania
 
Back
Top Bottom