Wanufaika wa Katiba Iliyopo hawahitaji elimu

Mmoja wa wanufaika.
Watu wakiongelea katiba nawe ukakimbilia vyama, unatuhakikishia kuwa ni mmoja wa wanufaika.

Tunakupotezea ,, pambana kivyako.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Imeeandikwa vizuri sana. Leo hii naanza kupanda mbegu kwa watu wanahohitaji elimu ya katiba mpya.
 
Achana naye huyo hao Ni katika watu wenye uelewa na anafaidika na mfumo uliopo in one way or another. How come a university graduate even from jalalani doesn't know the part that a good law plays in individuals and communities?
 
Hatimaye tulielewana hadi nikaandika uzi juu yake:

Tuzikate tamaa kuwaelimisha wenye matatizo ya uelewa wa dhati.

Angalia ushuhuda huu:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…