Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Hawa watu wanakera. Halafu eti anawachonganisha na TAKUKURU(KA) bila kujua wako kwa ajili ya watawala. Hovyo kabisa. Unapanda kunde, zikiota unalalamika.Wakati unaipa ccm kura yako hukujua ipo siku yatakugeukia
mama mitano tena had akili iwakae sawaaa