JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
Rejea kichwa cha habari,naongea na wanunuzi wa simu used hasa kariakoo mnachukua tahadhari mnaponunua simu hizo?mf jamaa wanaweza kuletewa simu dukan mtu analeta simu anaongezea na hela kidogo anachukua mzigo mwingine unakuta simu ameiiba,
Mf umenunua simu kumbe ya wizi polisi ,tcra wameitrack unakamatwa mchana kweupe unaonekana umenunua simu ya wizi au cm imepiga tukio mahali
Mnachuka tahadhari gani msije kununua simu ya wizi
Mf umenunua simu kumbe ya wizi polisi ,tcra wameitrack unakamatwa mchana kweupe unaonekana umenunua simu ya wizi au cm imepiga tukio mahali
Mnachuka tahadhari gani msije kununua simu ya wizi