Wanunuzi wa nywele: Brazilian, peruvian, French curls

Wanunuzi wa nywele: Brazilian, peruvian, French curls

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,954
Reaction score
80,256
Unafanyia manunuzi wapi? Nchi gani zinauzwa bei rahisi South Africa au China.

Na bei zake tafadhali kama inawezekana.
 
Kama unataka high quality ni Phillipine
Indonesia au India
Kama za kawaida China panafaa
 
Kama unataka high quality ni Phillipine
Indonesia au India
Kama za kawaida China panafaa
Nataka niingie kwenye hii biashara.
Naelewa zinauzwa kwa inches na quality.

Wanauzaje? Ni kama nguo au ni kwa piece?
 
Back
Top Bottom