Wanunuzi wa Simu Used Kariakoo mnahakikishiwa vipi kuwa zile simu zimetoka Dubai kweli na hazijachanganywa na za wizi?

Wanunuzi wa Simu Used Kariakoo mnahakikishiwa vipi kuwa zile simu zimetoka Dubai kweli na hazijachanganywa na za wizi?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
 
Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya
Zipo case nyingi police- mtu anakutwa na simu iliyoibiwa na ana risiti ya Dukani toka Kariakoo. Sio simu tu hata Laptops pia
 
Vijana wengi tunaingia kwenye huu mtego Kuna watu wanapewa kesi za uwizi na uporaji kwa kutumia silaha, sijui simu used 80% za uwizi na hao jamaa wanajenga na kushika pesa kwa izo dili za kushrikiana na vibaka kwamba wakiiba wanaenda kuuza kwao kwa Bei ya chini... Hao jamaa Wana macover mengi wapachika na kuweka housing mpya ila tambua IMEI number haibadiliki.. kuweni makini vijana!! Mtakuja para kesi hazina dhamana bure.
 
Vijana wengi tunaingia kweny huu mtego Kuna watu wanapewa kesi za uwizi na uporaji kwa kutumia silaha,sijui simu used 80% za uwizi na hao jamaa wanajenga na kushika pesa kwa izo dili za kushrikiana na vibaka kwamba wakiiba wanaenda kuuza kwao kwa Bei ya chini ...Hao jamaa Wana macover mengi wapachika na kuweka housing mpya ila tambua IMEI number haibadiliki ..kuweni makini vijana!! Mtakuja para kesi hazina dhamana bure.
Simu ukiflash inabaki na IMEI number?
 
Yaani ununue sim
Upewe risit na box
Lake alafu unaambiwa
Sim yako ni ya uwizi
twende-kazi

Ova
Sio simu ya wizi tu, na aliyeibiwa alipigwa mapanga akafa. Ukirudi kariakoo pale dukani unakuta muuzani mwingine na vitabu vya risit tofauti na risiti yako ndo utapojua kama kachumbari ni mboga au pambo la pilau[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anyung'unyung'u
 
Wanapigwa wanaonunua 😀 simu ikitumika miezi 2 unaijuaje bora hata gari kuna mileage pale unasoma
kidogo iPhone unaweza shutukia ukiaenea cheki kwenye warranty. Kuna siku niliagiza iPhone jamaa wanasema walichukulia Dubai, kuja kui activate kumbe mzigo ulikuwa active tayari kama miezi miwili nikawataaa hadi walipo leta mpya nilipo activate mwenyewe nikasema hapo sawa..
 
Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.

Nimekaa kariakoo mda mrefu na uzoefu hapo ila nikupe faida ndogo.
kariakoo hapo aggrey ndio sehemu kubwa ya kupata simu ulimwenguni kote used,mpya,refubrish na kila kona.

unaposema simu za wizi sawa ila tambua simu hizo zinaingia kwenye mzunguko pale watu wachache wanajifanya ni wafanya biashara kwa jina winga !.

kwa jina kazi kazi au kazi maandazi hiyo.
 
Back
Top Bottom