JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
Zipo case nyingi police- mtu anakutwa na simu iliyoibiwa na ana risiti ya Dukani toka Kariakoo. Sio simu tu hata Laptops piaTangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya
Kwa akili ya kawaida tu huwa wanatupiga kambaπ, mtu ana simu used Dubai na US afu Bei tofautiNdio wafanyabiashara wetu hawa tutafanyaje sasa unauziwa maneno π imetumika dubai miezi 2 π used but new π
Wanapigwa wanaonunua π simu ikitumika miezi 2 unaijuaje bora hata gari kuna mileage pale unasomaKwa akili ya kawaida tu huwa wanatupiga kambaπ, mtu ana simu used Dubai na US afu Bei tofauti
Katika maisha yako hujawai kusikia Pawn shop?Wanapigwa wanaonunua π simu ikitumika miezi 2 unaijuaje bora hata gari kuna mileage pale unasoma
Jumba lina mwangukia mwenye duka hapo maana yeye ndio kauza so atakuwa anajua ni wapi aliitoa hiyo bidhaa.Zipo case nyingi police- mtu anakutwa na simu iliyoibiwa na ana risiti ya Dukani toka Kariakoo. Sio simu tu ata Laptops pia
Kwahio haya maduka ya simu unalinganisha na pawn shops πKatika maisha yako hujawai kusikia Pawn shop?
Unazijuwa pawn shop? Jibu swali.Kwahio haya maduka ya simu unalinganisha na pawn shops π
Sijajua wewe uko wapi ila nitajie mifano ya pawn shops tz hii na inahusiana vip na hii mada hapaUnazijuwa pawn shop? Jibu swali.
Simu ukiflash inabaki na IMEI number?Vijana wengi tunaingia kweny huu mtego Kuna watu wanapewa kesi za uwizi na uporaji kwa kutumia silaha,sijui simu used 80% za uwizi na hao jamaa wanajenga na kushika pesa kwa izo dili za kushrikiana na vibaka kwamba wakiiba wanaenda kuuza kwao kwa Bei ya chini ...Hao jamaa Wana macover mengi wapachika na kuweka housing mpya ila tambua IMEI number haibadiliki ..kuweni makini vijana!! Mtakuja para kesi hazina dhamana bure.
Hata ufanyaje mkuu haitoki! Hata ukiflash chooniSimu ukiflash inabaki na IMEI number?
Sio simu ya wizi tu, na aliyeibiwa alipigwa mapanga akafa. Ukirudi kariakoo pale dukani unakuta muuzani mwingine na vitabu vya risit tofauti na risiti yako ndo utapojua kama kachumbari ni mboga au pambo la pilau[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anyung'unyung'u
Nilifanya top up ya simu moja, siku kadhaa nikaona wana iuza imetumika kidogo kutoka USA ππππ nilicheka kweliNdio wafanyabiashara wetu hawa tutafanyaje sasa unauziwa maneno π imetumika Dubai miezi 2 π used but new π
kidogo iPhone unaweza shutukia ukiaenea cheki kwenye warranty. Kuna siku niliagiza iPhone jamaa wanasema walichukulia Dubai, kuja kui activate kumbe mzigo ulikuwa active tayari kama miezi miwili nikawataaa hadi walipo leta mpya nilipo activate mwenyewe nikasema hapo sawa..Wanapigwa wanaonunua π simu ikitumika miezi 2 unaijuaje bora hata gari kuna mileage pale unasoma
Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.