wanachuo wawili wa chuo cha STEMMUCO kilichopo Mtwara wanisurika kuuwawa baada ya kihofiwa kuwa ni wauwaji kutokana na ugeni ambao wanakijiji walishindwa kuwajua vijana hao walioko Field katika kijiji kimoja kilichopo mpakani mwa Nachingwea na Luangwa. Walinusurika baada ya mwananchi mmoja ambae alikuwa ni mmoja wa wanakijiji hao kuja na kuwauliza kisha baadae akagundua kuwa ni walimu. Mkuu wa shule alionekana akilaumiwa kwa kitokutoa utambilisho kwa kijiji hicho ambacho kina matukio ya mauwaji ya wanawake.
Walimu doti comu hao, ticha kajinyuka zake mlegezo, mwondoko kama ana spring mguuni, afu mavazi ya kubana bana kama mvuvi...
Kwanini wanakijiji wasitie japo shaka, hao walimu wangekua na staha na maadili ya kazi wala hakuna wa kuwatilia shaka.
ndo huko huko mkuu...kuna walimu yaani bila yule mmoja wa wanakijiji kuchepuka na kuwafata wale vijana ,yaan ilikuwa kifo kwa vijana maana wanakijijini walikuwa na kila aina ya silaha za jadi.