real toxic
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 533
- 104
wanachuo wawili wa chuo cha STEMMUCO kilichopo Mtwara wanisurika kuuwawa baada ya kihofiwa kuwa ni wauwaji kutokana na ugeni ambao wanakijiji walishindwa kuwajua vijana hao walioko Field katika kijiji kimoja kilichopo mpakani mwa Nachingwea na Luangwa. Walinusurika baada ya mwananchi mmoja ambae alikuwa ni mmoja wa wanakijiji hao kuja na kuwauliza kisha baadae akagundua kuwa ni walimu. Mkuu wa shule alionekana akilaumiwa kwa kitokutoa utambilisho kwa kijiji hicho ambacho kina matukio ya mauwaji ya wanawake.