Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Mar 20, 2020 #1 Siwaweziii mashemejii zangu, mna ubunifuu hatareee.
HISTAMINE JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 477 Reaction score 1,135 Mar 20, 2020 #2 Usikariri vichekesho, hii ni ishu serious! Sent using Jamii Forums mobile app
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,101 Reaction score 18,055 Mar 20, 2020 #3 Hivi 'Wanyachusa' wana udugu wa karibu na Wasukuma? Maana nao kwenye mambo ya watu wa mikoani nao wanatajwa sana!
Hivi 'Wanyachusa' wana udugu wa karibu na Wasukuma? Maana nao kwenye mambo ya watu wa mikoani nao wanatajwa sana!
cha1509 JF-Expert Member Joined Jul 6, 2018 Posts 258 Reaction score 402 Mar 20, 2020 #4 darcity said: Hivi 'Wanyachusa' wana udugu wa karibu na Wasukuma? Maana nao kwenye mambo ya watu wa mikoani nao wanatajwa sana! Click to expand... Wasukuma usitulinganishe na hayo madudu, ya kipuuzi! Wanyakyusa ndio mijitu gani Sasa? Never ever , sisi wasukuma ni next level bhana Sent using Jamii Forums mobile app
darcity said: Hivi 'Wanyachusa' wana udugu wa karibu na Wasukuma? Maana nao kwenye mambo ya watu wa mikoani nao wanatajwa sana! Click to expand... Wasukuma usitulinganishe na hayo madudu, ya kipuuzi! Wanyakyusa ndio mijitu gani Sasa? Never ever , sisi wasukuma ni next level bhana Sent using Jamii Forums mobile app