Benokolongokonongose
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 213
- 52
Za jioni wakuu. Tumetoka kuangalia video ya Bahati Bukuku na tumeangalia pia ya Bon Mwaitege. Nilichojifunza kwao na kwa wanyakyusa wote hawawezi kutamka vema heru L ambapo kila wakitaka kutamka herufi hii lazima watasema R. Mfano LEO watasema REO. MBELE-MBERE. Sasa naomba kuuliza mbona herufi L wanaishindwa?Wenu, Benokolongokonongose.