Wanyakyusa hizi ndio tabia zenu

Majungu, unafiki na kusengenyana na kusutana misibani,
halafu mnazuga eti walokole.
Badilikeni.
NB

Bora ukweli uumao kuliko utani uchekeshao.

Huu ni zaidi ya uongo_thats all i can say.
 
Majungu, unafiki na kusengenyana na kusutana misibani,
halafu mnazuga eti walokole.
Badilikeni.
NB

Bora ukweli uumao kuliko utani uchekeshao.

Mkuu, nafikiri ingekuwa; bora utani uumao kuliko ukweli uchekeshao ingekuwa pouwaaaaa sana!
 
Majungu, unafiki na kusengenyana na kusutana misibani,
halafu mnazuga eti walokole.
Badilikeni.
NB

Bora ukweli uumao kuliko utani uchekeshao.

Nahisi huwafaham wanyakyusa, na umekurupuka kuandika hii mada! Wewe ni mtu wa kwanza kumsikia akiandika upuuzi wa namna hii kuhusu wanyakyusa! Meno yako ka punje za mahindi! Muone kwanza!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa_nine ngwitika nnkamu
 
hizi tabia hazina kabila
 
huu uzi umeshaharibika tayari , tiiiiiiiiiiiii!!!!! humu kilugha tu kimetembea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…