Wanyakyusa mmenishinda, mtoto kapatikana, Mwamala Mwatozo!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Hata kabla Mwigulu Nchemba hajaachia ngazi Wizara ya Fedha, huko Mbeya , Mafiati Mwanjelwa tayari kuna jamaa kmwita mtoto wake mchanga jina la Mwamala Mwatozo.
Nyie watani zangu mna mambo!
 
Kwa hiyo baba yake ni Mwatozo na kazaliwa baada tozo kuanza..!

Labda ungesema Mtoto anaitwa Mwamala Mwasumbwe, Mwatozo Mwasumbwe
 
Hata kabla Mwigulu Nchemba hajaachia ngazi Wizara ya Fedha, huko Mbeya , Mafiati Mwanjelwa tayari kuna jamaa kmwita mtoto wake mchanga jina la Mwamala Mwatozo.
Nyie watani zangu mna mambo!
Sio poa mitaa yetu yakuchukua wa chapchap
 
Tanianeni huko Whatsapp au via SMS sio hapa
 
Back
Top Bottom